Loading...

MANUEL PELLEGRINI APIGA CHINI OFA YA KUMRITHI LUIZ FELIPE SCOLARI KUINOA BRAZIL

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
article-0-1F9CCE6200000578-622_634x455
Hajavutiwa: Manuel Pellegrini ameipiga chini ofa ya kurithi mikoba ya Luiz Felipe Scolari .
 
KOCHA wa Manchester City, Manuel Pellegrini amekataa ofa ya kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Brazil, kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Chile.
Inaelezwa kuwa Pellegrini alifuatwa wakati wa mechi ya fainali ya kombe la dunia siku ya jumapili, saa 24 kabla ya Luiz Felipe Scolari kuachishwa kazi kutokana na matokeo mabaya ya Brazil katika mashindano hayo yaliyofanyika katika ardhi yake.
Brazil ilifungwa mabao 7-1 katika mchezo wa nusu fainali na Ujerumani na ikafungwa mabao 3-0 dhidi ya Uholanzi kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu.
Ingawa inasemekana kuwa Pellegrini amegoma kuingia katika makubaliano na shirikisho la soka nchini Brazil, amesisitiza kuwa anahitaji kuona miaka yake yake mitatu iliyosalia katika mkataba wake ndani ya dimba la Etihad.
 Successful: Pellegrini won the Premier League title and Capital One Cup in his first season in charge at City
Pellegrini na kikosi chake wapo katika mazoezi ya wiki moja,  St Andrews nchini Scotland kabla ya kucheza mechi yao ya pili ya kujipima ubavu dhidi ya Hearts siku ya ijumaa.
Naye mkurugenzi wa michezo, Txiki Begiristain inasemekana  anatakiwa, japokuwa haijawekwa wazi kama tayari ameshafuatwa na Brazil kwa mazungumzo.
Out of a job: Scolari's contract was not renewed with Brazil after they finished fourth at the 2014 World Cup
Defeated: Scolari's reign ended  in dismay with emphatic losses to Brazil and Holland
Popular figure: Pellegrini is well liked by Man City's star-studded playing squad
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW => Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright burukiza | Designed By 075580248
Back To Top