Loading...

VAN GAAL AMPA ROBIN VAN PERSIE WIKI TATU ZA MAPUMZIKO

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>

 Mimi na likizo tu! Robin van Persie amepewa wiki tatu za mapumziko baada ya kumalizika kwa kombe la dunia.

article-2691250-1F9D2B6B00000578-155_634x360
ROBIN van Persie amepewa likizo ya wiki tatu na kocha wa Manchester United,  Louis van Gaal na hataungana na kikosi cha klabu hiyo kwa safari ya America.
Mshambuliaji huyo wa Uholanzi aliweka wazi kuwa anahitaji likizo baada ya Wadachi kumaliza katika nafasi ya tatu ya  kombe la dunia nchini Brazil.
Hii ni tofauti kwa Wayne Rooney, kwani yeye amelazimika kukatisha likizo na kuungana na timu katika maandalizi ya kabla ya msimu.
Van Persie alikosa mechi 8 mwishoni mwa msimu uliopita na alikuwa anakaribia kumaliza bila kufunga katika mechi ya jumamosi usiku dhidi ya wenyeji Brazil.
Not in the USA: New Manchester United boss Louis van Gaal decided to give his talisman the time off
Mshambuliaji huyo alicheza dakika 548 katika mashindano yote na Van Gaal ameona anahitaji kupumzika ili kurudi na nguvu mpya kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu soka nchini England.
“Nahitaji likizo,” alisema Van Persie. “Yalikuwa mashindano magumu. Kila mechi nilicheza kadiri niwezavyo. Ndivyo ilivyokuwa, haikuwa rahisi”.
Wakati huo huo imekuwa tofauti kwa Rooney, mchezaji mwenzake na Van Persie .
Maamuzi hayo ya kwanza kwa Van Gaal akianza kazi Man United, yanakuwa na utata ingawa yanaonekana kuwa sahihi.
Van Persie alikosa mechi 27 za Man United msimu uliopita, na hivyo ikipewa likizo anaweza kupata muda mzuri wa kukusanya nguvu.
Alionesha kiwango kizuri katika fainali za kombe la dunia. Nyota huyo mwenye miaka 30 alifunga mabao manne likiwemo la kichwa maridadi dhidi ya Hispania katika mchezo wa ufunguzi na alikuwa mshambuliaji chaguo la kwanza la Van Gaal.
Pia Van Gaal amekuwa na uhusiano mzuri na Van Persie na anatarajia kumpa majukumu ya unahodha wa United badala ya Wayne Rooney.
Mwishoni mwa wiki, Van Gaal alimsifu sana nyota wake .” Kama unajua alitoka wapi na amefanya nini, unachoweza kufanya ni kumpongeza tu,” alisema kocha huyu mwenye miaka 62.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW => Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright burukiza | Designed By 075580248
Back To Top