KIZAAZAA: MTOTO MCHANGA AOKOTWA AKIWA AMEKUFA, ALIZIBWA PUANI NA MDOMONI KWA PLASTA ILI ASIPIGE KELELE (PICHA)
Pamoja na jitihada kubwa inayofanywa na serikali katika kupambana na matukio ya ukatili kwa watoto, bado jamii inaonekana haijaipata elimu hiyo kutokana na kuendelea kuwepo kwa matukio hayo. Leo mtoto mchanaga anayekadiliwa kuwa na umri wa siku moja amekutwa akiwa ametupwa eneo la
Mbuyuni Kawe huku akiwa amefungwa plasta sehemu ya mdomoni na puani kumzuia kutopiga kelele pamoja na kuvuta pumzi.
Bw. Khamisi Hamad Bundala ambaye ni mvuvi katika eneo la Kawe, alisema tukio hilo walilijua mara baada ya mwenzao (pia mvuvi) kwenda kwenye eneo la tukio kwa ajili ya kuokota mfuko wa Rambo kwa nia ya kuwekea samaki na kisha kumkuta mtoto huyo ndani ya mfuko.
“Sasa baada ya kufika pale mbuyuni na kutaka kuuchukuwa mfuko wa Rambo ndio akaona kile kitoto na ndipo alipotuita na sisi na kushuhudia tukio hili. Kiukweli ni tukio baya sana na linalopaswa kupingwa na kila mmoja wetu, huu ni ukatili mbaya sana,” alisema .
“Polisi ifanye kila linalowezekana kukamatwa kwa huyo mama kiukweli huu ni zaidi ya ukatili,” alisema Edna Hamad mkazi wa Kawe.
Aidha, polisi wa kituo cha Kawe walifika na kuuchukuwa mwili wa mtoto huyo.
Jitihada na kumpata Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni Bw. Camilius Wambura kwa ajili ya kuzungumzia tukio hilo hazikuzaa matunda baada ya simu yake ya mkononi kutopatikana. PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW => Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>


Chapisha Maoni