JESHI la polisi mkoa wa Iringa kupitia dhana ya polisi jamii na ulinzi shirikishi limefanikiwa kukamata mali za wizi zilizokuwa zikisafirishwa kwenda nchi ya DRC Kongo zikiwa na thamani ya Tsh milioni 100 pamoja na lori lenye thamani ya Tsh milioni 100 ambalo liliteketezwa kwa moto kabla ya dereva na utingo wa lori hilo kulichoma moto kama njia ya kupoteza ushahidi. Imedaiwa kuwa watu zaidi ya 6 wanashikiliwa na jeshi hilo la polisi akiwemo dereva na utingo wake ambao wanadaiwa kuhusika na tukio la wizi huo. Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi May 31 ambapo askari wa doria wilaya ya Mufindi wakiwa katika shughuli hiyo ya doria walifanikiwa kuliona lori hilo likiwa limeegeshwa kando ya barabara ya Iringa –Mbeya eneo la Kinegembasi wilaya ya Mufindi huku likiwa limeteketea kwa moto katika kibini yake. Alisema kuwa watu hao waliteketeza lori lenye namba za usajili T527 DPQ likiwa na tela lenye namba T 974 EFE aina ya scania mali ya kampuni ya Dandu ambalo walilikuta likiungua huku silizi zake zikiwa zimefunguliwa na baada ya uchunguzi wa awali walibaini kuwa lori hilo lilikuwa limebeba mitumba na viatu na baada ya msako ndipo walipofanikiwa kukuta mitumba hiyo ikiwa imefichwa katika nyumba moja kuukuu mali ya mama Gray Mpinga mwenyeji wa Maguhani Mufindi. Alisema kuwa mali hizo ambazo ni mabelo ya mitumba na viatu yalitoka Bandarini kwenda DRC chini ya dereva wa lori hilo ni Enedia Christian (26) mkazi wa Mbeya na utingo wake Deus Gendo (20) mkazi wa Mbeya . Kamanda Mungi alisema kuwa utingo na dereva wa lori hilo baada ya kufika kijiji hicho cha Maguhani walivunja kontena na kushusha mali zote na kuzihifadhi katika nyumba hiyo kabla ya kutafuta mteja na kisha lori kulichoma moto. Alisema kuwa baada ya kufanya wizi huo walitoweka na simu zao kuzimwa na kutokana na jitihada za jeshi la polisi kupitia mtandao wa kimawasiliano wa kuthibiti na wizi wa mitandaoni walifanikiwa kuwanasa watuhumiwa hao wakiwa kijiji cha Nyololo. Mbali ya kuwakamata dereva na tingo pia polisi wamekamata watu mbali mbali wahusika wa mtandao huo na kuendelea kumsaka Masko Buhewa mkazi wa Nyololo kwa kuhusika na umilikiwa wa mtandao huo |
Loading...
Home
» Matukio
» 0 Duh!! Hii Kali!! DEREVA NA UTINGO WACHOMA GARI LAO,WALIFAULISHA MZIGO WAKACHOMA GARI KUPOTEZA USHAHIDI
0 Duh!! Hii Kali!! DEREVA NA UTINGO WACHOMA GARI LAO,WALIFAULISHA MZIGO WAKACHOMA GARI KUPOTEZA USHAHIDI
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>

PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>


Chapisha Maoni