Loading...

WENGER ATAKA ARSENAL ‘IANZE MSIMU’ NA GALATASARAY JUMATANO

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
WENGER_MASHAKANIArsene Wenger ameipa changamoto Arsenal kupiga kiki Msimu wao unaosuasua kwa kuwatandika Vigogo wa Uturuki Galatasaray Jumatano Usiku Uwanjani Emirates watakapocheza Mechi ya Kundi D la UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL.
Wenger amefadhaishwa na kikosi chake ambacho kimezorota kiasi cha kushinda mechi moja tu kati ya 6 walizocheza mwisho.
Mechi ya UCL ni ya pili kwa Arsenal katika Kundi D baada ya kufungwa Mechi ya kwanza huko Germany Bao 2-0 na Borussia Dortmund.
Galatasaray wao walianza kwa Sare ya Nyumbani ya Bao 1-1 na RSC Anderlecht.
Kwenye Mechi yao ya mwisho hapo Jumamosi, Arsenal walishindwa kuutumia umiliki wao mkubwa wa Mpira kuzaa Magoli walipotoka Sare ya 1-1 na Mahasimu wao wakubwa Tottenham na pia Mechi hiyo iliwapa majanga pale Mastaa wao, Aaron Ramsey, Nahodha Mikel Arteta na Jack Wilshere, wote kuumia na wataikosa Mechi hii ya Jumatano ingawa upo uwezekano Wilshere akawa fiti.
Wenger amelalama: “Kitu kizuri ni kuwa bado hatujafungwa kwenye Ligi lakini kibaya ni kuwa hatukushinda katika Mechi mbili ambazo tulistahili na hivyo tumepoteza Pointi 4 bure.”
Aliongeza: “Lazima tudumishwe kutofungwa lakini pia sasa inabidi tuanze kushinda badala ya Droo. Ushindi uanze kwa Mechi hizi.” PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW => Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright burukiza | Designed By 075580248
Back To Top