Wanafunzi wa vyo vikuu nchini Uingereza wametakiwa kwenda haja ndogo bafuni katika juhudi za kuzuia matumizi mabaya ya maji.
Kamapeini yenye kauli mbiu, 'Go with the Flow' ilianzishwa na wanafunzi na wawili wa chuo kikuu cha East Anglia mjini Norwich.
Wanafunzi hao Debs Torr na Chris Dobson wanataka chuo hicho chenye wanafunci 15,000 kwenda haja ndogo wakiwa wanaoga asubuhi na mapema.
Mwanafunzi Dobson, mwenye umri wa miaka 20, alisema kwamba wazo hilo litaokoa matumizi ya maji na kujaza bwawa la kuogelea la chuo hicho ambalo lina uhaba wa maji.
Bwawa lenyewe ni kubwa sawa la bwawa linalotumiwa kwa mashindano ya olimpiki. .
Wanafunzi walioanzisha kampeini hiyo wanawataka wenzao kuahidi kwenye Facebook na Twitter na pia kuahidi kuwazawadi wanafunzi wa kwanza kufanya hivyo.
Dobson amesema :"tumefanya uchunguzi wetu na mradi huu utakuwa na matokeo mazuri sana. ''
"wanafuzni wote hawa ikiwa watafanya hivyo kwa kipindi cha mwaka mmoja, watazuia uharibifu wa maji na itatusaidia kujaza bwawa letu mara 26. ''
"tunajitahidi kubadili tabia na mienendo ya wanafunzi wenzetu, kuanzisha mjadala kuhusu maji, rasilimali ambayo sisi hupuuza sana umuhimu wake.''
Dobson alisema kuwa walitoa ushauri wao kwa profesa mmoja na pia kufanya uchunguzi wao wenyewe kuhusu tisho lolote kwa afya ya watu wanaotumia bafu moja.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>

Chapisha Maoni