Watu wanne wa familia moja wamekatwa na polisi katika kata ya Busega, mkoani Simiyu baada ya kukutwa wakilima huku wakiwa uchi. Kaimu Kamanda ya Polisi mkoani Siminyu Venance Kimario amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo baada ya polisi kufahamishwa na raia mwema katika kijiji cha Bushigwamala kilichopo Kivukoni wilayani Busega.
Waliokamatwa ni baba mzani Makoye Gamoge (42), mama mzani Neema Kugela (31), mtoto wao wa kiume Juma Makoye (15) na mtoto wao wa kike Esther Makoye (12). Watoto hao wanasoma katika shule ya msingi ya Bushigwamala. Wote wanne hawakukimbia baada ya kuwaona polisi kwenye mida ya saa kumi na mbili za asubuhi. Waliendelea kulima huku wakiimba bila kuogopa uwepo wa polisi shambani hapo mpaka pale polisi walipowaamuru waweke majembe yao chini.
Kwa mujibu wa RPC baba mzani Gamoge amedai kuwa kitendo cha mtu kulima wakati akiwa uchi ni sehemu ya tamaduni za Wanyantuzu ambao ni sehemu ya kabila la Wasukuma na madhumuni yake ni kuleta mvua za kutosha na hivyo mavuno mazuri. Amesema kuwa walikuwa wanalima uchi kutoa heshima kwa nasaba zao. Gamoge aliongeza kwa kuwambia polisi kuwa familia yake ilishauriwa na mganga wa kienyeji aliyewahakikishia "mapinduzi ya kijani" kama kama wangefuata ushauri wa kulima mapema asubuhi huku wakiwa uchi
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>

Chapisha Maoni