Kwa muda mwingi Uwanjani Parc des Princes Jijini Paris, Barca, iliyoongozwa na Lionel Messi na Neymar ambao ndio walifunga Bao zao, walizidiwa kimchezo na PSG ambao walifunga Bao zao kupitia David Luiz, Marco Verratti na Blaise Matuidi.
Luis Enrique, ambae ameanza kuiongoza Barca Msimu huu, amekuwa na mafanikio makubwa tangu mwanzoni bila kufungwa Mechi hadi hii ya Jana.
Enrique amesema: “Ufafanuzi kwa nini tumefungwa upo wazi. Tumepambana na Wapinzani ambao wako kiwango sawa na sisi na wameweza kuimudu presha vyema kupita sisi!”
Aliongeza: “Usiku huu hatukucheza vizuri kama tulivyotarajia.Tulipata nafasi chache za kusawazisha!”
Alipoulizwa kuhusu makosa ya Wachezaji wake hasa uchezaji wa Kipa Marc-Andre ter Stegen na Difensi yake, Enrique alisema: “Kawaida sitoi tathmini ya Mchezaji mmoja mmoja. Kufungwa ni kwetu sote na wa kwanza kulaumiwa ni mimi!”
Mechi inayofuata ya UCL kwa Barca ni hapo Oktoba 21 Uwanjani kwao Nou Camp dhidi ya Ajax lakini kabla ya hapo watasafiri kwenda kucheza Ugenini na Rayo Vallecano kwenye La Liga.
JOSE MOURINHO AISIFIA CHELSEA KUIFUNGA SPORTING LISBON
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amefurahia Timu yake kupata ushindi wa Ugenini huko Ureno walipoifunga Sporting Lisbon Bao 1-0 katika Mechi ya Kundi G la UEFA CHAMPIONZ LIGI hapo Jana.
Bao pekee la Chelsea lilifungwa kwa Kichwa na Nemanja Matic.
Licha ya kukosa nafasi nyingi kuongeza Mabao, Mourinho amesema ushindi huo umemfurahisha hasa kwa vile umewapa uongozi katika Kundi G wakiwa na Pointi 4.
Katika Mechi yao ya kwanza, Chelsea walitoka Sare 1-1 na Schalke.
Wapinzani wanaofuata baadae Mwezi huu ni NK Maribor ambao Jana walitoka 1-1 na Schalke.
MANUEL PELLEGRINI APONDA WACHEZAJI WAKE BAADA CITY KWENDA SARE NA AS ROMA
Manuel Pellegrini ameponda uchezaji wa Timu yake baada Jana kutoka Sare 1-1 na AS Roma Uwanjani Etihad katika Mechi yao ya Kundi E la UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Sare hiyo imewaacha City wakiwa na Pointi 1 tu baada ya Mechi mbili za Kundi E kwani walifungwa Mechi ya kwanza 1-0 na Bayern Munich.
Jana, Sergio Agüero aliwapa City Bao katika Dakika ya 4 na Francesco Totti kuisawazishia AS Roma katika Dakika ya 24.
Bao la Totti, mwenye Miaka 38, limeweka Historia huko Ulaya na kumfanya awe ndie Mfungaji mwenye Umri mkubwa kwenye Mashindano hayo ya UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Akiongelea Sare hiyo na kukiri Timu yake ilicheza kigoigoi, Pellegrini amesema: “Nadhani ilikuwa Mechi muhimu. Pointi 1 Nyumbani si kitu kizuri lakini tulicheza na Timu ngumu iliyo wakati mzuri. Haikunishangaza.”
Aliongeza: “Hatukucheza vizuri hasa Kipindi cha Kwanza!”
Mechi mbili zinazofuata kwa Man City katika Kundi E ni zile za Nyumbani na Ugenini dhidi ya CSKA Moscow ambayo Jana ikiwa kwao ilichapwa 1-0 na Bayern Munich.
UEFA CHAMPIONZ LIGI
MATOKEO:
Jumanne Septemba 30
KUNDI E
CSKA Moscow 0 Bayern Munich 1
Man City 1 Roma 1
KUNDI F
APOEL Nicosia 1 Ajax 1
Paris St-Germain 3 Barcelona 2
KUNDI G
FC Schalke 1 NK Maribor 1
Sporting Lisbon 0 Chelsea 1
KUNDI H
BATE Borisovs 2 Athletic Bilbao 1
Shakhtar Donetsk 2 FC Porto 2
++++++++++++++++++++++++++
UEFA CHAMPIONZ LIGI
RATIBA MECHI ZIJAZO
**Mechi zote kuanza Saa 2145, Bongo Taimu, isipokuwa inapotajwa
Jumatano Oktoba 1
KUNDI A
Atlético Madrid VS Juvsentus
Malmö FF VS Olympiakos
KUNDI B
FC Basel VS Livserpool
Ludogorets Razgrad VS Real Madrid
KUNDI C
1900 Zenit St Petersburg VS Monaco
Bayer 04 Levserkusen VS Benfica PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW => Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>


Chapisha Maoni