Loading...

Aliyevujisha Picha za KOMBA matatani

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Mrembo  aliyeonekana  kwenye  picha  inayodaiwa  kutengenezwa  kitaalam  akiwa  na  mbunge  wa  Mbinga  Magharibi, Kapten John Komba, anasakwa  kwa  udi  na  uvumba….
Kusakwa  kwa  mwadada  huyo  anayedaiwa  kuishi  maeneo  ya  Kinondoni  jijini  Dar  es salaam, kumekuja  siku  chache  tangu  mbunge  huyo  atoe  taarifa  kwamba  hauhusiki  na  picha  hizo  na  ana  imani  kwamba  zimetengenezwa  na  wabaya  wake….
Inaaminika  kwamba  kupatikana  kwa  mwanamke  huyo  kutategua  kitendawili  kuhusiana  na  tukio  hilo.
Taarifa  iliyotolewa  na  mbunge  huyo  ilisema  kwamba  picha  hizo  zimetengenezwa  na  maadui wake  wa  kisiasa  na  kwamba  yeye  siyo  kiongozi  wa  hovyo hovyo  namna   hiyo….
komba1
Komba  alisema  kwamba  anawakaribisha  wataalamu  wa  picha  na  mitandao  kuthibitisha   ukweli  wa  picha  hizo  kama  zinamhusu.
Mbunge  huyo  alihoji, iweje  awe  kwenye  mapenzi  kama  picha  hizo  zinavyoonesha  halafu  awe  na  nguo  zake  zote  huku  msichana  akiwa  na  kanga  tu?
Kapteni  Komba  alisema  kama  taifa  limefikia  hatua  ya  kuchafuana  sababu  ya  mitizamo  tofauti  ya  kisiasa  juu  ya  namna  ya  kuongoza  taifa  letu  basi  tumefika  pabaya  sana….
Alisema  wale  wote  wanaomuamini  kama  kiongozi  shupavu  wasikatishwe  tamaa  na  wachache  wenye  mawazo  ya  kitumwa  ambao  wanadhani  wanaweza  kummaliza  kisiasa  kwa  kumtengenezea  picha  chafu  kama  hizo…
Katika  hatua  nyingine, wadau  mbalimbali  wameomba  kusakwa  kwa  mtu  aliyezitengeneza  na   kuzitoa  picha  hizo  kwenye  mitandao  ya  kijamii  ili  ahojiwe…
agness
Wadau  hao  walisema, mtu  huyo   akipatikana  na  kuhojiwa  ndipo  itajulikana  nini  kilikuwa  chanzo  cha  kufanya  jambo  hilo .
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW => Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright burukiza | Designed By 075580248
Back To Top