Mama huyo akiwa hoi baada ya kipigo toka kwa wanachi wenye hasira.
THIS IS NOT FAIR: Wimbi la wananchi kujichukulia sheria mkononi limezidi kushika kasi nchini Tanzania. Ikiwa hazijapia siku nyingi toka mwanafunzi wa chuo kikuu Ruaha kuuawa kwa kuchomwa moto kwa madai ya wizi. Taarifa tulizozipata leo asubuhi toka Kilema, Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, mama mmoja inayesemekana ni kichaa amepigwa na wananchi wanaojiita wenye hasira kwa kumuhisi ni mchawi baada ya kukutwa akiwa mtupu hajitambui kwenye mfereji...
Baada ya kumuuliza na yeye kushindwa kuongea chochote ndipo walipoanza kumshushua kichapo kwani hakuna aliyekua akimfahamu maeneo hayo maskini!
Kwa bahati nzuri akaja kuokolewa na askari na kupelekwa hospitali, baada ya kupimwa ndipo ilipogundulika kuwa kumbe ni kichaa! PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW => Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>



Chapisha Maoni