Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kilivyo bomolewa asubuhi ya leo
Hiki kilikuwa Choo cha kulipia kilichokuwa Mwenge nacho kikiwa kimebomolewa
Ulinzi ukiwa umeimarishwa
Kazi ya Kubomoa na kuondoa vibanda ikiwa inaendelea Mwenge
Askari wa FFU akiwa anazuia watu wasipite eneo ambalo kulikuwa na kazi ya Bomoa bomoa ikiendelea
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ubomoaji ukiendelea
Hili lilikuwa eneo la kupumzikia zamani la Abiria kungoja usafiri nacho kikiwa kimebomolewa
Mabaki ya Vibanda
Mmoja wa Mgambo akiwa amebeba Meza kupeleka eneo husika Tayari kwa kuzikusanya kuzipeleka eneo husika
Kazi ya Ubebaji Meza na Mabaki ya Vibanda ikiendelea
Mashuhuda wakiongezeka
Moja ya eneo ndani ya Mwenge walipo hifadhi baadhi ya Meza za Biashara
Bomoa Bomoa ikiendelea upande wa Juu Mwenge
Hapa walikuwa wanabomoa Sehemu zote za vibanda zilivyo zidi mbele
Mgambo anafanya kazi bila Air Mask wakati kazi inaendelea ya Bomoa bomoa
Mashuhuda upande wa Juu Mwenge
Ulinzi ukiwa umeimarishwa kila sehemu
Hapa ilitaka kutokea Shoti ya Umeme Baada ya gari la kubomoa kupita sehemu ambayo kuna waya wa umeme, TANESCO hawajazima umeme eneo hilo jambo ambalo ni Hatarishi.
Hali Halisi baada ya eneo hilo kubomolewa PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW => Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>


Chapisha Maoni