Loading...

BAADA YA MASOGANGE KUWA MJAMZITO SASA HARUSI YAKE KUNUKIA

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Hakuna ubishi kua Agness Masogange ndio Video Queen maarufu zaidi hapa Bongo, ametokelezea katika video mbalimbalia hapa Bongo lakini iliyomtoa zaidi na kumpa jina la Masogange ni video ya Belle9. Uzuri na umbo lake linawaingiza katika matamanio mengi wanaume walafi lakini kwa inavyosemekana Agness ana wake.

Umaarufu wake uliongezeka zaidi pale alipokamatwa na madawa huko Afrika Kusini, jambo lilomfanya anyee debe kidogo kabla ya kuachiwa na kurudi uraiani kwa mbwembwe zote. Ikapita miezi michache akarudi bongo huku akiwa mtu huru kabisa.

Wiki chache zilizopita Agnes aliamua kurudi sauzi kwa yule mchumba wake aliyekoswa koswa kukamatwa nae na madawa ya kulevya na tetesi zinasema kua alirudi sauzi kumpa taarifa bwana wake huyo kua yeye kwa sasa ni mjamzito.
Tetesi hizo zimethibitishwa jana pale Agness alipoamua kuweka picha yake Instagram na kuandika " Mama Kijacho " Ikimaanisha kua siku si nyingi ataingiza kiumbe kipya duniani. Inadaiwa kua Mchumba wake huyo kwa furaha aliyoipata baada ya kupewa taarifa hizo aliamua kumvalisha pete ya uchumba kabisa.
Habari BongoClan tulizozipata kutoka kwa ndugu wa karibu wa Agness ambae hakutaka kutajwa jina lake ni kua  Mchumba wake huyo anaplan za kuja Bongo kutoa mahari kabisa ili baada ya Masogange kujifungua wafunge Pingu za maisha.
Ndugu huyo aliendelea kusema kua Pete ya uchumba aliyovalishwa Masogange ina gharama ya shilingi milioni 16 za kibongo. Tunapenda kutoa hongera kwa Agness na mchumba wake kwa kuamua kuchukua maamuzi mazuri ya kupata mtoto kwani mastar wengi wanaogopa kuazaa kwa kuhofia kushuka umaarufu. PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW => Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright burukiza | Designed By 075580248
Back To Top